Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Diamond ni kijembe kwa nani?

Diamond Upinzani Kauli ya Diamond ni kijembe kwa nani?

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

C.E.O wa Wcb wasafi Diamond Platnumz kupitia insta story yake ametupa kidongo kwa wale aliodai wanalazimisha upinzani naye.

Diamond ameshare chart ya wasanii waliotazamwa zaidi kupitia mtandao wa YouTube kwa mwezi February 2023 na kuandika;

“Mnaolazimishaga upinzani mngejikagaza hata kidogo kwenye vimauzo vyenu, asa manyimbo yote mnayotoaga kila kukicha faida yake nini?”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live