Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jina la album yangu alichagua Don Jazzy - Davido

Don Jazzy Ress Don Jazzy na Davido

Fri, 26 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Album ya @davido iitwayo #Timeless inazidi kufanya vizuri kwenye 'Platforms' mbalimbali za kuuza muziki duniani na Mwenyewe (Davido) ametobia Siri namna Jina la album hiyo lilivyopatikana

Davido amesema kuwa kulikuwa na majina kadhaa ambapo timu yake walichagua Jina Moja na kulipitisha ila wiki Moja kabla ya kutuma album hiyo Kwa wasambazaji alipigiwa simu na @donjazzy (ambaye alikuwepo kwenye mchakato wa kuchagua Jina la album) na kumwambia "hili Jina la #Timeless ni Jina Bora zaidi ya tulilolichagua mwanzo.

Na hapo ndipo Davido alipobadili Jina na kuiita album hiyo Timeless. Davido amesikika kwenye #NewsBeat ya The Switch na kuelezea mchakato huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live