Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Melody humwambii kitu kwa Aslay

Jay Melody Kazi Jay Melody humwambii kitu kwa Aslay

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Jay Melody ametamba kuelekea show yake Ijumaa hii ambapo amedai kuwa hii itakua ni show kubwa atakayofanya live Kwa nyimbo zaidi ya 10.

Jay Melody anasema;, “Nimezinguka Mikoa mingi sana ya Tanzania na nje ya Nchi lakini safari hii Dar es salaam, sisi tumekuja tofauti kuleta muziki Live, nawaomba kwa ridhaa yao Watu wajet nitaimba live”

“Aslay nampenda sana sababu niliwahi kukutana naye Mbagala yeye hakujali nilikuwa Msanii mdogo sana lakini aliingiza verse zake kwenye ngoma yangu ya Raha Tele, Aslay aliniamini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live