Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndiyo wasanii 15 Nigeria wenye watazamaji wengi zaidi YouTube

Most Viewed Nigerian Music Videos On YouTube 1 Hawa ndiyo wasanii 15 Nigeria wenye watazamaji wengi zaidi YouTube

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtandao wa YouTube umekuwa maarufu katika karne ya 21 hasa kwa kuweka maudhui mbalimbali na watu kuingiza pesa ndefu kupitia mtandao huo unaomilikiwa na Kampuni kubwa Duniani ya Googlr.

Leo tutatazama mastaa 15 wa Nigeria ambao wamefanikiwa kupata watazamaji (views) wengi zaidi kupitia mtandao huo tangu wajiunge mpaka leo Septemba 12, 2023.

Tazama hapa wasanii wa Nigeria wenye YouTube views nyingi zaidi;

01. Burna Boy (211 videos) - 2.31 billion views

02. Wizkid (64 videos) - 1.78 billion views

03. Davido (55 videos) - 1.43 billion views

04. Rema (102 videos) - 1.30 billion views

05. Ckay (98 videos) - 1.25 billion views

06. Flavour (343 videos) - 1.16 billion views

07. P-Square (104 videos) - 1.13 billion views

08. Tekno (33 videos) - 1.00 billion views

09. Kizz Daniel (130 videos) - 885 million views

10. MavinRecords (751 videos) - 805 million views

11. Sinach (197 videos) - 765 million views

12. Fireboy DML (91 videos) - 760 million views

13. Yemi Alade (225 videos) - 732 million views

14. Omah Lay (109 videos) - 605 million views

15. Mr Eazi (187 videos) - 492 million views.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live