Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

French Montana ampa 2Pac maua yake

Montana 2pac French Montana ampa 2Pac maua yake

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa @frenchmontana kupitia interview yake na Rick The Bella Radio aliweka wazi upendo wake kwa marehemu Tupac Shakur na wakali wengine wa hiphop duniani.

Kwenye interview hiyo French Montana amesema anakuwakubali wasanii wengine wa hiphop kama Big Pun, Nas na The Notorious B.I.G na akaweka wazi kwamba album yake ya kwanza kununua kutoka kwa 2pac Ilikua ni All Eyez On Me.

Ni wimbo gani mkali unaukumbuka kutoka kwa 2Pac unaopatikana Album ya All Eyez On Me?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live