Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ed Sheeran alitunga nyimbo kukabiliana na msongo wa mawazo

Ed Sheeran Ed Sheeran

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kila mtu anamambo yake ambayo hufanya ili kukabiliana na msongo wa mawazo pale ambao hukabiliwa na matukio yenye kumuumiza kiakili na kihisia.

Wengine huchagua kujitenga na watu kwa muda, kusikiliza muziki au wengine huishia kwenye uraibu wa pombe. Hali ikoje kwa upande wako?

Akitangangaza kutoka wa Albamu yake ya Sauti (acoustic album) iitwayo -(Subtract), mwimbaji maarufu wa muziki Duniani, Ed Sheeran alisema Mwaka 2022 wakati akiandaa albamu hiyo alikuwa akipitia sonona kutokana na Kifo cha rafiki yake Jamal Edwards na mke wake kugundulika na uvimbe akiwa mjamzito.

Alisema matukio hayo yalibadilisha maisha yake, afya yake ya akili na jinsi alivyoutazama Muziki, hivyo alianza kutunga nyimbo za albamu hiyo kubabiliana na upweke aliokuwa nao

Chanzo: www.tanzaniaweb.live