Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond na Wyne kufanya ngoma pamoja?

Diamond Wyne Ngoma (600 X 340) Diamond na Wyne kufanya ngoma pamoja?

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia Instagram stori ‘Insta story’ ya nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka kionjo cha wimbo wake mpya ambao bado hajautoa rasmi ambao ameshirikiana na rapa Lily Wayne kutoka Marekani.

Ukamilikaji wa ngoma ngoma hii huwenda yakawa ni utekelezaji wa alichoahidi Platinumz kuwa kuanzia mwaka huu hadi 2024 utakuwa ni mwaka wa ngoma kali tu 'hit songs' hivyo kuwasihi washabiki wake wajiandae.

Ushiriki wa Lil Wayne katika ngoma unatabiriwa kumtangaza kimataifa Platnumz kwani Wayne tayari ameshaitikisa dunia kwa vibao kadhaa vikiwemo Lollipop, Mirror akishirikiana na Bruno Mars, My Life alioshirikishwa na The Game, No Love akishirikiana na Eminem na vibao vingine .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live