Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond ametuletea ngoma hii ya Achii ft. Koffi Olomide

Video Archive
Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa WCB, Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya akiwa na Koffi Olomide, ngoma ambayo ameipa jina la #Chii.

Ikumbukwe kuwa, Diamond alishawahi kufanya ngoma nyingine na Koffi aliyoipa jina la Waah ambayo ilitesa vibaya mitandaoni.

Unaipa asilimia ngapi ngoma hii kati ya 100%?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live