Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond akomba Sh milioni 7 maokoto ya mirabaha

Diamond Kusuka Diamond Platnumz

Sat, 22 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni muda wa Wasanii kujinyakulia maokoto yao ya mgao wa Mirabaha, Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amejinyakulia zaidi ya Tsh milioni saba kwenye mgao huo.

Mirabaha hiyo imetolewa usiku wa jana Ijumaa Julai 21, 2021 na COSOTA na kuhudhuriwa na wasanii, viongozi na wadau mbalimbali wa sanaa katika hoteli ya Hayatt Regency jijini Dar es Salaam.

1. Diamond Platnumz - Sh7.7 milioni

2. Alikiba - Sh5.0 milioni

3. Rayvanny - Sh4.9 milioni

4. Zuchu - Sh4.7 milioni

5. Mbosso - Sh4.2 milioni

6. Nandy - Sh3.5 milioni

7. Harmonize - Sh3.4 milioni

8. Maua Sama - Sh2.3 milioni

9. Young Lunya - Sh1.7 milioni

10. G Nako - Sh1.3 milioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live