Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BASATA: Wanaolalamika walijaza vibaya maombi

Basata 5902 BASATA: Wanaolalamika walijaza vibaya maombi

Sat, 8 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia mahojiano aliyoyafanya na Maisha Remix leo, Dkt. Kedmon Mapana Katibu Mtendaji wa Basata amesema kuwa wasanii wengi wanaolalamika kukosekana kwa majina yao kwenye orodha iliyotajwa ni kwa sababu hakumaliza kufanya 'application' hadi mwisho.

Kupitia mahojiano aliyoyafanya na Maisha Remix leo, Dkt. Kedmon Mapana Katibu Mtendaji wa Basata amesema kuwa wasanii wengi wanaolalamika kukosekana kwa majina yao kwenye orodha iliyotajwa ni kwa sababu hakumaliza kufanya 'application' hadi mwisho. “Wengi wanaolalamika kukosekana kwa majina yao kwenye orodha iliyotajwa jana ni kwa sababu hakumaliza kufanya application hizo ndiyo maana tuliweka namba ya kupiga kwa ajili ya kuomba msaada pale unaposhindwa” Dkt. Kedmon Mapana

Chanzo: www.tanzaniaweb.live