Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akili bandia kikwazo Tuzo za Grammy

Grammy Awards Akili bandia kikwazo Tuzo za Grammy

Tue, 20 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya akili bandia kuwa msaada mkubwa kwenye kazi ya sanaa kwa kutambua hilo waandaaji wa tuzo kubwa za muziki Dunia, Tuzo za Grammy wameainisha sheria mpya kwenye vinyang'anyiro vya muziki.

Baada ya akili bandia kuwa msaada mkubwa kwenye kazi ya sanaa kwa kutambua hilo waandaaji wa tuzo kubwa za muziki Dunia, Tuzo za Grammy wameainisha sheria mpya kwenye vinyang'anyiro vya muziki. Waandaji wa tuzo hizo wameainisha kwamba kazi ambazo zitakuwa zikipokelewa kwa ajili ya vinyang'anyiro ni zile tu zilizobuniwa kwa asilimia kubwa na mwanadamu, Na kuainisha kwamba kazi zote ambazo zimefanywa kwa kiwango kikubwa na akili bandia hazitokuwa na sifa ya kuwako kwenye vinyang'anyiro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live