Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waamuzi 13, wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo

Kenya Msn.jpeg Waamuzi 13, wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo

Sat, 14 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizoonesha kuhusika kwa Wachezaji na Waamuzi hao katika upangaji matokeo ya Mechi.

Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, #BarryOtieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa Ligi, Shirikisho limewasimamisha kwa muda ili #FIFA na #FKF zifanye uchunguzi."

Shirikisho hilo limewataka Wanachama wake kuepuka aina yoyote ya Mawasiliano ya Kimichezo na waliotajwa kwenye Sakata hilo kwa muda wote wa kusimamishwa kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live