Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vera aweka wazi jinsia ya mtoto wake

Vera Vera aweka wazi jinsia ya mtoto wake

Mon, 12 Jul 2021 Chanzo: eatv.tv

Vera Sidika na mume wake Brown Mauzo wameweka wazi jinsia ya mtoto wao ajaye kwenye party waliyoifanya mwishoni mwa wiki.

Submitted by Telesphory on Jumatatu , 12th Jul , 2021 Picha ya Vera Sidika

Wawili hao waliandaa hafla maalumu yenye lengo la kuitambulisha jinsia ya mtoto wao ambayo ni ya kike, ambapo kwa kipindi chote cha ujauzito wake hawakuweka wazi hilo.

 

Chanzo: eatv.tv