Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vera Sidika kujifungua Novemba

VB Vera Sidika kujifungua Novemba

Mon, 18 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Mjasiriamali kutoka nchini Kenya, Vera Sidika pamoja na mpenzi wake Brown Mauzo wanatarajia kumkaribisha Duniani mtoto wao mwezi Novemba 1 mwaka huu.

Mjasiriamali kutoka nchini Kenya, Vera Sidika pamoja na mpenzi wake Brown Mauzo wanatarajia kumkaribisha Duniani mtoto wao mwezi Novemba 1 mwaka huu. Queen Vee ametoa taarifa hiyo kupitia Insta story akiwajibu wakosoaji wake kuhusu ujio wa mtoto huo ambaye amekuwa akisubiriwa kwa zaidi ya miezi nane ili kuona matunda ya tumbo lake.  

Chanzo: eatv.tv