Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tiwa Savage kuachia EP yake Ijumaa

Tiwa Savage Water Garri Tgj.jpeg Water & Garri EP

Tue, 17 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ametangaza ujio wa EP (Extende Playlist) itakayotoka Ijumaa Agosti 20.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tiwa Savage ameandika EP hiyo itatambulika kwa jina la "Water & Garri" ambayo itatoka rasmi Ijumaa hii.

"Water and Garri OUT on Friday. 20.8.21" , ameandika Tiwa Savage ambaye nyimbo zake huwa anaimba kwa lugha ya Kingereza pamoja na Yoruba

Tiwa Savage ametoa nafasi ya ku-PreOder EP hiyo kupitia mitandao MITATU ambayo ni Deezer, Spotify na Apple Music.

"Water & Garri" inaifuata EP iitwayo "Sugar Cane" ya kwake Tiwa Savage iliyotoka mwaka 2017.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live