Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shalulile apewa zawadi ya gari mpya

5AB30B97 85D4 4790 9AC0 B2C2D03BB359 660x400.jpeg Shalulile apewa zawadi ya gari mpya

Tue, 13 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Club ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini imemzawadia zawadi ya gari (Hyundai Suv) mshambuliaji wao Peter Shalulile raia wa Namibia kwa kufanya vizuri msimu huu.

Shalulile msimu huu amefunga magoli 15, assist 7 katika mechi 28 za mashindano yote aliyocheza msimu huu akiichezea Mamelod inayodhaminiwa na Hyundai.

Shalulile (27) alikuwa anaichezea Higland Park y Afrika Kusini 2015-2020 hadi 2020 alipoamua kujiunga na Mamelod Sundows na sasa amekuwa na wakati mzuri.

Chanzo: millardayo.com