Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sauti Sol wairudisha tour yao nchini Uingereza, watangaza tarehe za shows

WhatsApp Image 2021 07 14 At 3.13.30 PM 660x400.jpeg Sauti Sol wairudisha tour yao nchini Uingereza, watangaza tarehe za shows

Thu, 15 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines kutokea nchini Kenya ambapo kundi la muziki maarufu kama Sauti Sol wametangaza kurudi kwa tour yao nchini Uingereza.

Kupitia kwenye ukurasa wao wa instagram wameandika taarifa hii na kuwajulisha umma ujio wa tour yao na kusema ‘SUMMER VIBES  We are coming to the UK for a run of intimate shows this Summer. Tell everybody #SautiSolUKResidency, Pre-Sale tickets’- Sauti Sol

Tunafahamu kwamba hapo awali walisimamisha tour yao kutokana na Janga la Ugonjwa wa Corona (COVID-19) na kwasasa wameirudisha tena tour yao na hapa nimekusogezea ratiba kamili ya sehemu ambazo mashabiki watafika kupokea burudani yao ni Jazz Cafe (Friday 23th Sept) na Xoyo (Thursday  9th September), Laylow (Saturday 11th September), Blues Kitchen Manchester (Wed 15th September)..

MISS TANZANIA APIGWA CHINI MASHINDANO YA MISS WORLD, APELEKWA MSHINDI WA PILI

Chanzo: millardayo.com