Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Said Junior atamba UAE, apiga goli tano mechi 1

8E48C3BC 64D4 4C4A 9EB9 FD375ECC53E0 660x400.jpeg Said Junior atamba UAE, apiga goli tano mechi 1

Fri, 23 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Mtanzania Said Khamis Junior anayecheza soka katika club ya Baniyas Sports ya Falme za kiarabu amefunga magoli matano katika ushindi wa magoli 7-1 dhidi ya Zafra FC.

Said Junior sasa anaongoza katika list ya wafungaji magoli akifunga jumla ya magoli 20 anayemfuatia akiwa na magoli 15 na imesalia mechi 1 msimu kumalizika wa Ligi Kuu U-21 ya UAE kumalizika.

Ufungaji wa magoli matano katika mechi moja kitaalam unaitwa (Glut) lakini uzuri wa hat-trick aliyoifunga Said Junior inaitwa Perfect hat-trick sababu ya kufunga magoli kutumia viungo vitatu tofauti vya mwili wake yaani mguu wa kushoto, kulia na kichwa.

Chanzo: millardayo.com