Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rude Boy aachia rasmi album yake mpya "Rudy Kill Us"

E5t45r6tghhj Rudy Boy

Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Staa kutokea  nchini Nigeria , Rudeboy ambae leo Agosti 5, 2021 anamiliki Vichwa vya Habari nchini kwao baada ya kuachia album yake mpya iitwayo Rudy Kill us.

Ni Staa kutokea  nchini Nigeria , Rudeboy ambae leo Agosti 5, 2021 anamiliki Vichwa vya Habari nchini kwao baada ya kuachia album yake mpya iitwayo Rudy Kill us. Staa huyo ameachia album hiyo yenye nyimbo zisizopungua 11, unaweza ukabonyeza kusikiliza hapa

Chanzo: millardayo.com