Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi nyingine ya mauzo imevunjwa na Wizkid London

4455555 660x400 Wizkid

Fri, 6 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Mkali kutokea Nigeria, Wizikid ambae time hii amechukua Vichwa vya Habari baada ya kuutaarifu umma kumalizika mapema kwa tiketi za show yake inayotarajiwa kufanyika Uingereza.

Show hiyo inatarajiwa kufanyika mnamo 26th Novemba 2021 katika ukumbi wa 02 London Arena ambao huingiza watu zaidi  ya Elfu 20.

Staa huyo alithibitisha Taarifa hizo za kumaliza kwa tiketi za show yake kupitia Instagram ambapo aliandika…….”Sold out the O2 in 12mins!! Love u london!!

Chanzo: millardayo.com