Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ramaphosa aondolewa Mashtaka ya Ufisadi

Cyril Ramaphosa 199 Cropped Twitter Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa

Wed, 16 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameondolewa mashitaka ya utakatishaji fedha na ufisadi yanayohusiana na wizi wa dola milioni 4 [TZS bilioni 10.9)] zilizodaiwa kufichwa nyumbani kwake mwaka 2020.

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ameondolewa mashitaka ya utakatishaji fedha na ufisadi yanayohusiana na wizi wa dola milioni 4 [TZS bilioni 10.9)] zilizodaiwa kufichwa nyumbani kwake mwaka 2020. Uamuzi huo umetolewa na Mwendesha Mashitaka (DPP) ambapo amesema hakuna ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani Ramaphosa kufuatia uchunguzi uliofanywa na Kurugenzi ya Upelelezi wa Kihalifu (DPCI).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live