Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Kenya aagiza uchunguzi ufanyike kuhusu vifo vya wanafunzi 17

Rais Wa Kenya Aagiza Uchunguzi Ufanyike Kuhusu Vifo Vya Wanafunzi 17.png Rais wa Kenya aagiza uchunguzi ufanyike kuhusu vifo vya wanafunzi 17

Fri, 6 Sep 2024 Chanzo: Bbc

Rais wa Kenya William Ruto anasema habari za moto huo ni mbaya sana na ameagiza uchunguzi ufanyike kuhusu chanzo chake.

"Tunawaombea manusura wapone haraka," amesema kwenye mitandao ya kijamii.“Naagiza mamlaka husika kuchunguza kwa kina tukio hili la kutisha, waliohusika watachukuliwa hatua.

"Serikali chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa inakusanya rasilimali zote muhimu kusaidia familia zilizoathiriwa."

Chanzo: Bbc