Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Ruto kuwajengea nyumba watoto wa marehemu Kiptum

Skynews Kelvin Kiptum Kenya 6452539 Kelvin Kiptum.

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Kenya William Ruto, ametuma wataalamu katika nyumba ya marehemu aliyeshikilia rekodi ya dunia ya kukimbia Kelvin Kiptum na kuwapa maagizo ya kumjengea nyumba ya vyumba vitatu mjane na watoto wake.

Ruto amewaagiza wataalamu hao kujenga nyumba hiyo ndani ya siku saba kabla ya mazishi ya mwanariadha huyo kufanyika Februari 24.

Rais Ruto anatarajiwa kusimamia shughuli ya kukabidhi nyumba kwa mjane na watoto wa Kiptum kabla ya marehemu kuzikwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live