Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

R Kent, Seyram Music wafurahia mafanikio ya "Akpe"

90b97255 09f7 486c 812e E03603d7f93d R Kent, Seyram Music wafurahia mafanikio ya "Akpe"

Mon, 10 May 2021 Chanzo: mtanzania.co.tz

Philadelphia, Marekani

Mwimbaji wa Afro Gospel anayeishi Marekani, R Kent, amewashukuru mashabiki kwa mapokezi ya wimbo, Akpe aliomshirikisha Seyram Music kutoka Ghana.

Kent mwenye asili ya Benin ameiambia www.mtanzania.co.tz kuwa ndani ya wimbo huo amemwagia sifa Mungu kwa mambo makuu ambayo ameendelea kuyatenda pamoja na shukurani.

“Nikiwa kama CEO wa lebo ya ADI Records LLC nimeachia wimbo wangu mpya Akpe au Thank You au Asante, naamini huko Afrika nina mashabiki wengi hivyo naomba sapoti yao ili huduma yangu isonge mbele, video inafanya vizuri sana YouTube hilo nashukuru,” amesema Kent.

Chanzo: mtanzania.co.tz