Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha za kutamanika za Rapa Khaligraph Jones na wanawe wawili

F27311d2e2e27a38 Picha za kutamanika za Rapa Khaligraph Jones na wanawe wawili

Thu, 13 May 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

- Rapa Khaligraph ni baba wa watoto wawili na amekuwa akionyesha jinsi anavyowaajibikia na kuwafurahia kwenye mitandao ya kijamii

- Kulingana na picha na video kadhaa ambazo amekuwa akichapisha mitandaoni, ni ishara tosha kwamba Khaligraph anawapenda sana watoto wake na angefanya lolote kuhakikisha anawapa maisha bora

- Mwanamuziki huyo tayari ameanza kuwashirikisha watoto wake kwenye muziki na anaamini watakuwa mangwinji kumliko

Rapa maarufu Khaligraph ni miongoni mwa wasanii wachache ambao wana ujasiri wa kuposti picha za watoto wao kwenye mitandao ya kijamii.

Kwenye picha kadhaa ambazo tumeweza kuzitizama hapa TUKO.co.ke, Khaligraph anawapenda sana watoto wake na tayari ameanza kuwabwaga kwenye ulingo wa mziki wakiwa bado wachanga.

Khaligraph ni miongoni mwa wanamuziki bora zaidi wa nyimbo za aina ya Rap Barani Afrika.

TUKO.co.ke iliweza kukuandalia picha muruwa za msanii huyo akiwa na wanawe na bila shaka utafurahia;

1. Ingawa Khaligraph huwa sio mwepesi wa kuposti picha za mkewe Georgina Muteti, lakini amekuwa akichapisha picha za wanawe hasa kwenye mtandao wa Instagram.

2. Khaligraph na mkewe walijaliwa mtoto wa pili Oktoba mwaka wa 2020 na walimpea jina Lu.

3.George alisema amzaa Lu salama lakini mtoto wake wa kwanza alifanyiwa upasuaji kwa sababu za dharura zilizotokana na uzazi4. Tayari Khaligraph ameanza kuwahusisha watoto wake kwenye muziki na huenda wakawa shupavu kumliko endapo watafuatata talanta yake.5. Khaligraph ana uhusiano wa karibu sana na bintiye na mashabiki wanaamini kwamba atafuata nyayo zake.

Hizi hapa baadhi ya picha ya khaligraph akiwa pamoja nna watoto wake;









Read: ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke