Tue, 5 Mar 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limezitaja nchi 10 za barani Afrika zenye pato kubwa la taifa kwa mwaka 2024.
Orodha hii inajumuisha kiasi cha bidhaa na huduma zinazozalishwa na raia kwa muda fulani.
Zifuatazo ndizo nchi zilizotajwa kuwa na utajiri mkubwa (2024):
1. Mauritius
2. Libya
3. Botswana
4. Gabon
5. Egypt
6. Equatorial Guinea
7. South Africa
8. Algeria
9. Tunisia
10. Morocco.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live