Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msiba mzito Afrika Kusini:Mpura na Killer Kau wafariki, chanzo ni hiki

5555555 660x396 Msiba mzito Afrika Kusini:Mpura na Killer Kau wafariki, chanzo ni hiki

Mon, 9 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Usiku wa kuamkia Agosti 9, 2021 ambapo Afrika Kusini imewapoteza wasanii wakali Mpura na Killer katika Ajali ya gari iliyotokea nchini kwao wakati wakitoka kwenye hafla ya show yao.Mpura na Killer Kau watakumbukwa kwa mchango wa kukuza muziki wao uliofahamika kwa jina la Amapiano unaotamba kwasasa.

Mpura atakumbukwa kwa rekodi zilizomtambulisha na kufanya vizuri katika tasnia ya muziki ni Umsebenzi Wethu, VSOP na nyinginezo ambazo zilimletea umaarufu na kuanza kupiga shows katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania,Kenya,Ghana.

Killer Kai nae atakumbukwa na mashabiki wa muziki wa Amapiano kupitia wimbo huu uitwao Amaneighbour na nyinginezo

Afrika Kusini imepita pigo zito kwa kuwapoteza wakali hao ambao walikuwa ni kama usukani kwenye muziki wao Amapiano unaotambaa kwasasa.

Chanzo: millardayo.com