Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MTN Uganda kujinyakulia Trilioni 2.7 kwa wawekezaji

Mtn MTN Uganda kujinyakulia Trilioni 2.7 kwa wawekazaji

Wed, 6 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya mawasiliano ya MTN nchini Uganda inatarajia kuuza hisa zake tano kwa wawekezaji wa Kenya na wengine kutoka ukanda wa Afrika Mashariki wakati ikiwa katika mchakato wa kutoa ofa yake mpya ya mawasiliano kwa umma maarufu kama 'IPO'.

Kamapuni hiyo imesema kuwa tayari imepokea kibali kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo ya kuitaka iorodhoshe mchangunuo wa hisa zake 20 inazomiliki katika kampuni hiyo.

Imeongeza kusema kuwa ifikapo Oktoba 11, 2021 itatoa muongozo wa ofa hiyo mpya kwa Umma ili kuweza kuruhusu wateja wao kushiriki kikamilifu.

Mpango huo unakadiliwa kuiongezea kampuni hiyo zaidi ya dola bilioni 1.2 sawa na shilingi trilioni 2.7 za kitanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live