Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamine Moro asaini AS kigali

Moroo Lsmine Lamine Moro (Kulia)

Fri, 3 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha na beki wa Zamani wa Yanga Lamine Moro amejiunga na AS KIGALI ya Rwanda akiwa kama mchezaji huru.

AS KIGALI inayonolewa na kocha Masoud Djuma imemtangaza Lamine kama mchezaji wao kuanzia leo hii akiungana na Haruna Niyonzima katika tiimu hiyo inayoshiriki ligi kuu nchini Rwanda.

Lamine ameachana na Yanga mara tu baada ya kuisha kwa Ligi kuu Tanzania Bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live