Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kutana na mchekeshaji wa kike asiyevaa nguo ya ndani

H.png Mchekeshaji wa kipindi cha Churchill, Eunice Wajiru Njoki

Wed, 8 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji wa kipindi cha Churchill, Eunice Wajiru Njoki anayetambulika wa jina la Mamito, kutokea nchini Kenya , ameweka wazi kuwa hapendelei kuvaa nguo za ndani na sio kitu anachokipenda

Aliyasema hayo wakati anafanyiwa mahojiano na moja ya Radio Tanzanis.," Mimi sipendelei kuva nguo za ndani na nikizivaa ni mara moja baada siku nyingi huwa zinaniletea joto" amesema Mamito

Kupitia mahojiano hayo Mamito amesema anampango wa kufungua duka la chupi zitakuwa na chapa yake.

Mamito alipoulizwa juu ya mahusiano yake amedai kuwa, amekuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 29, toka ameanza kujukalika na wamedumu kwa miaka minne . amesema mwanaume atakae kuwa nae kimahusiano lazima awe vizuri kifedha.

Mchekeshai huyo amesema, yupo Tanzania kwa kazi zake za sana pamoja na kutangaza YouTube yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live