Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kampuni ya Oliver Mtukudzi's yaburuzwa kortini

Tuku Musiccdd Kampuni ya Oliver Mtukudzi's yaburuzwa kortini

Mon, 4 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya matangazo ya muziki ya Tuku, inayomilikwa na Samantha Mtukudzi mtoto wa aliyekuwa mwanamuziki nguli nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi's imefikishwa Mahakamani kwa madai ya kushindwa kulipa kodi iliyoongezwa na Mamlaka ya Mapato nchini humo.

Mwanadada huyo anayejulikana kwa kazi yake ya matangazo ya muziki anashitakiwa pamoja na Kampuni yake kwa kosa la kushindwa kulipa kodi hiyo toka Julai mwaka 2019 hadi Disemba 2020.

Wanatarajiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya hakimu Mkazi wa Harare Tafadzwa Miti kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayowakabili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live