Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

J. Martins atunukiwa udaktari

Untitled 22 J. Martins

Mon, 28 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, J. Martins ametunukiwa shahada ya udaktari kutoka katika chuo kikuu cha Estam huko Jamhuri ya Benin.

Submitted by Telesphory on Jumatatu , 28th Jun , 2021 Picha ya pamoja msanii J Martins na Mike Ezuruonye

J. Martins aliyewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa pamoja wa Mwana FA na AY ‘bila kukunja goti’ ame-share picha na video kwenye ukurasa wake wa instagram huku akielezea furaha yake kwa mashabiki juu ya heshima hiyo aliyoipata.

Chanzo: eatv.tv