Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Innos' B kawajengea wazazi wake mjengo wa kifahari

Video Archive
Tue, 6 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Mkali kutokea Congo, Innoss’b ambae time hii anamiliki vichwa vya habari baada ya kuwapa wazazi wake zawadi ya mjengo wa kifahari.

Staa huyo kupitia ukurasa wake wa instagram alipost picha mbili zikionesha maendeleo ya ujenzi wa mjengo huo mpya wa wazazi wake.Inaelezwa moja ya mafanikiwa yake yanatokana na collabo aliyowahi kuifanya  na mkali kutoka Bongo Flevani,  Diamond Platnumz Yobe Remix iliyompa shows kadhaa.



.



.
Chanzo: millardayo.com