Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hugo Kocha Mpya Afrika Kusini

874253C3 B540 4343 B4C4 17EDCBF10437 660x400.jpeg Hugo Kocha Mpya Afrika Kusini

Wed, 5 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Shirikisho la soka Afrika Kusini (SAFA) limemtangaza Kocha Hugo Henri Broos (69) raia wa Ubelgiji kuwa Kocha wao mpya.

Hugo amesaini mkataba wa miaka mitano wa kuifundisha Afrika Kusini na anatajwa kuwa atakuwa akilipwa mshahara wa USD 50,000 (Tsh milioni 115.9) kwa mwezi.

Kocha Hugo aliwahi kuwa Kocha wa vilabu kadhaa Ulaya kama Club Brugge, KRC Genk na timu ya Taifa ya Cameroon, mara ya mwisho 2019 alikuwa Kocha wa muda wa KV Oostende.

Chanzo: millardayo.com