Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hivi ndivyo jinsi Kenya inavyodhibiti bei ya mafuta

Oil Pic Hivi ndivyo jinsi Kenya inavyodhibiti bei ya mafuta

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali ya Kenya imejipanga kuwalipa wafanyabiashara wa mafuta mabilioni ya fedha kutoka kwenye ruzuku ya mafuta ili kuzuia kupanda kwa gharama za mafuta.

Wauzaji hao watafidiwa kikamilifu kiasi cha Ksh 12.39 sawa na Tsh 247.8 kwa kila lita ya mafuta ya petroli na Ksh 12.36 sawa na Tsh 247.2 kwa mafuta ya dizeli.

Hatua hii itasaidia bei ya mafuta kutoapanda ili kunusuru mfumuko wa bei katika kipindi hiki amabcho wananchi wa nchini humo wanalalamikia kupanda ka bei za bidhaa nyingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live