Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Guinea Bissau hati hati mechi na Morocco

Guinea Bissau Kikosi cha Guinea Bissau

Wed, 6 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka nchini Guinea Bissau, limeripoti kwamba wachezaji wake 25 na baadhi ya viongozi wa benchi la ufundi wameugua ikiwemo kuharisha na kutapika baada ya kula chakula cha jana usiku ambapo walikimbizwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa haraka na matibabu.

Guinea Bissau wapo ugenini nchini Morocco ambapo leo majira ya saa 4:00 usiku watacheza na Timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2022.

Bado haijawekwa wazi kama tatzo hasa la kikosi hicho ni chakula walichokula ama kuna tatizo jingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live