Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dada wa Burna Boy aunda gari

BURNAAAAS Dada wa Burna Boy aunda gari

Thu, 28 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Familia ya nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy imeendelea ku-takeover baada ya mdogo wake wa mwisho wa kike, Nissi Ogulu kuhusika kwenye uundaji wa gari aina ya Range Rover toleo jipya la mwaka 2022.

Familia ya nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy imeendelea ku-takeover baada ya mdogo wake wa mwisho wa kike, Nissi Ogulu kuhusika kwenye uundaji wa gari aina ya Range Rover toleo jipya la mwaka 2022. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ame-share furaha yake ya kuwa sehemu ya timu iliyohusika kukamilisha gari hilo ambalo wamitumia miaka mitatu kuliunda.

Chanzo: eatv.tv