Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF yatambiulisha mpira rasmi AFCON 2021

TOGHU Mpira utakaotumika AFCON 2021

Wed, 24 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limetambulisha mpira utakaotumika kwenye michuano ya AFCON inayotarajiwa kuanza mwezi January mwakani

Mpira huo uliotambulishwa leo unafahamika kwa jina la TOGHU umetengenezwa na kampuni ya kutengeneza vifaa ya UMBRO.

Mashindano yataanza Januari 9,2022 mpaka Februari 6,2022, nchini Cameroo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live