Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF yaruhusu Mashabiki 10,000 kuzitazama Simba, Namungo

Yanga678 CAF yaruhusu Mashabiki 10,000 kuzitazama Simba, Namungo

Fri, 2 Apr 2021 Chanzo: mtanzania.co.tz

Dar es Salaam, Tanzania

Shirikisho la Soka Afrika(CAF), limeruhusu mashabiki 10, 000 katika mechi za Simba na Namungo, zitakazochezwa wikiendi hii, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Simba inatarajia kucheza na AS Vita ya DR Congo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati Namungo itacheza na Nkana ya Zambia Jumapili mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi.

CAF imeruhusu mashabiki hao kutokana na maombi ya Shirikisho la Soka Tanzania baada ya michezo iliyopita timu hizo kucheza bila mashabiki.

Chanzo: mtanzania.co.tz