Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF YAMTEUWA HERIETH GILLA KUWA MRATIBU MSAIDIZI AFCON

Caf.png?fit=638%2C563 CAF YAMTEUWA HERIETH GILLA KUWA MRATIBU MSAIDIZI AFCON

Tue, 23 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Herieth Gilla kuwa Mratibu Msaidizi (Assistant General Coordinator) wa Mchezo wa Kufuzu AFCON kati ya Taifa Stars dhidi ya Libya utakochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Machi 28, 2021

Chanzo: zanzibar24.co.tz