Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CAF KWA KUSHIRIKIANA NA AFCON-U 17 WAZUIA WAANDISHI WA HABARI

MIM.png?fit=407%2C273 CAF KWA KUSHIRIKIANA NA AFCON-U 17 WAZUIA WAANDISHI WA HABARI

Thu, 4 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Shirikisho la Soka Africa (CAF) likishirikiana na Mwenyeji wa AFCON U-17 (March 13-31) Morocco, limezuia michuano hiyo na Uchaguzi Mkuu wa CAF (March 12) kuhudhuriwa na Waandishi kutoka Taifa lolote kama ilivyo kawaida na sasa Waandishi watalazimika kuhudhuria kwa njia ya Mtandao kama njia ya kujikinga na Corona, Tanzania inashiriki pia michuano hiyo.

Chanzo: zanzibar24.co.tz