Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy aweka rekodi hii kubwa kwenye mtandao wa Spotify

Cxxssss 660x400 Burna Boy aweka rekodi hii kubwa kwenye mtandao wa Spotify

Tue, 11 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Mkali kutokea Nigeria, Burna Boy ambae time hii ametangazwa kupitia mtandao wa Spotify kuwa msanii wa kwanza barani Afrika kuweka rekodi mpya kwenye mtandao huo kuwa na album tatu ambazo kila moja imeweza kusikiliza ama zimefikisha streams milioni 100.

Ni Mkali kutokea Nigeria, Burna Boy ambae time hii ametangazwa kupitia mtandao wa Spotify kuwa msanii wa kwanza barani Afrika kuweka rekodi mpya kwenye mtandao huo kuwa na album tatu ambazo kila moja imeweza kusikiliza ama zimefikisha streams milioni 100. Kwa mujibu wa mtandao huo umesema album hizo tatu ni Outside, African Giant na Twice as Tall

Chanzo: millardayo.com