Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy apokea tuzo yake

Burna 3 Burna Boy apokea tuzo yake

Thu, 10 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Hatimaye msanii Burna Boy wa Nigeria amepokea Tuzo (Plaque) yake ya Grammy aliyoshinda Machi 16, 2020 katika msimu 63 wa tuzo hizo kupitia kipengele cha “Best Global Music Album” kupitia album yake ya “Twice as Tall”.

Submitted by Telesphory on Alhamisi , 10th Jun , 2021 Picha msanii Burna Boy

Burna ame-share picha na video mbalimbali za uthibitisho wa kupokea Tuzo hiyo kwenye mtandao wa instagram mapema leo na kuacha ujumbe unaoashiria ni kiasi gani ana furaha na kumshukuru Mungu.



Gwiji huyo maarufu wa Afrika ndiye mshindi wa kwanza wa tuzo ya Afrobeat  kutoka Nigeria.
Chanzo: eatv.tv