Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy, Wizkid na Diamond kipengele kimoja Afrima 2021

44555 1 660x400 Burna Boy, Wizkid na Diamond kipengele kimoja Afrima 2021

Thu, 23 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za waandaji wa tuzo za All Africa Music Awards, Afrima 2021 ambapo time hii wametaja majina ya wasanii wakaowania tuzo hizo.

Na Good news ni kwamba  Tanzania tumepata wawakilishi wengi sana akiwemo Diamond Platnumz , Zuchu pamoja na Rayvanny, Dj Sinyorita, Darassa, Nandy, Director Kenny, Rosa Ree, Producer Lizer, Alikiba na Harmonize

Sasa miongoni mwa vipengele ambavyo watu wengi wanatamani kuvifahamu ni hiki cha Artist of the Year yaani msanii bora wa mwaka pamoja na Song of the year (Wimbo bora wa Mwaka).

Katika kipengele hiki Diamond Platnumz, Wizkid na Burna Boy wametajwa kuwania tuzo hiyo.

ARTISTE OF THE YEAR 

1.Aya NakamuraMali

2.Blaq Diamond South Africa

3.Burnaboy Nigeria  

4.Davido Nigeria

5.Diamond Platnumz Tanzania  

6.Fally Ipupa DR Congo

7.Focalistic South Africa

8.Makhadzi South Africa

9.MHD Guinea

10.Omah LayNigeria

11.WizKid Nigeria 

SONG OF THE YEARName of ArtisteTrack titleCountryBlaq DiamondSummerYoMuthiSouth AfricaDavidoFEMNigeriaDiamond Platnumz (feat. Koffi Olomide)WaahTanzaniaDj Tarico(feat. Burna Boy, Preck & Nelson)Yaba buluku (remix)MozambiqueFocalistic[Feat. Davido & Vigro Deep]Ke Star [Remix]South AfricaOlakira(feat. Davido)In my Maserati (remix)NigeriaOlamide (feat. Omah Lay)InfinityNigeriaPatorankingAbuleNigeriaRayvanny(feat. Zuchu)Number OneTanzaniaRemy AdanLe Gout DeIvory CoastWizKid(ft. Tems)EssenceNigeriaMpaka sasa wasanii wanaoongoza kushiriki katika vipengele mbalimbali ni Focalistic (7), huku BlackqDiamond akiongoza katika vipengele (8), Diamond Platnumz Vipengele (6) na Wizkid vipengele (6).

Diamond , Wizkid, Davido, & Burna Boy wanatajwa katika vipengele viwili ambavyo ni Song of the Year na Artist of the Year.

Chanzo: millardayo.com