Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Botswana yagundua madini mapya ndani ya Almasi

PRI 209522130 Botswana yagundua madini mapya ndani ya Almasi

Fri, 12 Nov 2021 Chanzo: BBC

Madini ambayo wanasayansi walidhani lazima yawepo kulingana na majaribio ya maabara yamepatikana ndani ya almasi nchini Botswana.

Madini - davemaoite - inapaswa kuwasaidia watafiti kuelewa jinsi safu ya chini ya dunia inavyoonekana.

Ilibainika ndani ya mwamba mdogo ulionaswa ndani ya almasi ambayo iliundwa kwa kina cha zaidi ya kilomita 660 (maili 410).

Wanasayansi wanadhani kwamba kati ya 5% na 7% safu ya chini lazima itengenezwe kwa davemaoite.

Chanzo: BBC