Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bahati kutupa karata yake kesho

Bahati Kenya 1 Bahati kutupa karata yake kesho

Mon, 7 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Nyota wa muziki kutoka Kenya, Bahati amepanga kuachia wimbo wa kwanza hapo kesho kutoka kwenye album yake ‘Love Like This’ ambayo amepanga kuitoa tarehe 14 Juni, 2021 siku ya Jumatatu.

Submitted by Telesphory on Jumatatu , 7th Jun , 2021 Msanii Bahati

Bahati ametamba kuwa hii itakuwa ni moja ya album bora na kubwa kuwahi kutokea nchini Kenya, “Unajua wazee wanaongea sana online wanasema ooh! nasumbua sana kwani hii ni album ya kwanza kutoka?,  ni kweli hii sio ya kwanza ila hii ni album ya kwanza kubwa, Love like This”.

Africa Music Wonder Kid bado hajaweka wazi ni kazi ngapi zitakamilisha album hiyo wala wasanii aliowashirikisha humo.

Chanzo: eatv.tv