Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alex Mlinda, Jackson Yusuph waachia "Nipe Jibu"

34c40df8 Fe40 4a70 B7de 781aa93ac5de Alex Mlinda, Jackson Yusuph waachia "Nipe Jibu"

Mon, 10 May 2021 Chanzo: mtanzania.co.tz

Texas, Marekaniutoka

Kutoka nchini Marekani mwimbaji anayekuja kwa kasi kwenye gospo, Alex Mlinda, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuipokea na kuitazama video ya Nipe Jibu aliyomshirikisha Jackson Yusuph.

Akizungumza na www.mtanzania.co.tz Mlinda amesema anaamini mashabiki wataipenda video ya wimbo huo kutokana na ujumbe wake wenye mguso wa kipekee.

“Nimeachia video ya Nipe Jibu katika chaneli yangu ya YouTube, naomba mashabiki zangu wa hapo Bongo na Afrika Masharik yote wanipe sapoti ili huduma yangu ifike mbali pia naomba waendelee kufuatilia kazi zangu kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram natumia jina la Alex Mlinda” amesema mwimbaji huyo mwenye asili ya Burundi.

Chanzo: mtanzania.co.tz