Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga wamtembelea Shabiki wao Mgonjwa nyumbani (+Video)

Video Archive
Fri, 4 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viongozi wa Yanga usiku wa Jana, walikwenda Upanga jijini Dar kumtembelea Shabiki wao mtoto Ally Kimara, ambaye anaumwa magonjwa yasiyojulikana.

Viongozi wa Yanga usiku wa Jana, walikwenda Upanga jijini Dar kumtembelea Shabiki wao mtoto Ally Kimara, ambaye anaumwa magonjwa yasiyojulikana. Mama wa Ally alifanya mahojiano na vyombo vya Habari na kusema mwanae ni shabiki wa Yanga na anampenda mshambuliaji Fiston Mayele hivyo viongozi waliamua kumsapraizi Kimara kwa kumletea mchezaji huyo ambaye staili yake ya ushangiliaji imekuwa gumzo sehemu mbalimbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live