Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kurejesha ushindi leo?

Yanga SC KUREJESHA USHINDI LEO Yanga kurejesha ushindi leo?

Wed, 24 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga SC inashuka dimbani leo kuivaa TS Galaxy katika mechi ya pili ya michuano ya Kombe Kuu la Kimataifa la Mpumalanga inayofanyika Afrika Kusini.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja kwenye uwanja wa Kanyamazane uliopo mji mdogo wa KaNyamazane katika jimbo la Mpumalanga.

Yanga ilipoteza mechi ya kwanza dhidi ya Augsburg ya Ujerumani kwa mabao 2-1 wakati TS Galaxy ilitoka sare ya mabao 2-2 na Mbabane Swallows ya Eswatini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live