Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga Yaingia Mkataba Mpya na Azam Media -Video

Video Archive
Thu, 8 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Yanga Yaingia Mkataba Mpya na Azam Media -Video July 8, 2021 by Global Publishers



Klabu ya Yanga leo Julai 8, 2021 imeingia mkataba wa mashirikiano ya maudhui na AzaMedia wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.



Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando na Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, wakisaini mkataba wa mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.





p

Share this:TweetWhatsApp Related
Chanzo: globalpublishers.co.tz